Tathimini ya haki za binadamu barani Afrika mwaka 2018 na matarajio ya 2019

Sauti 09:39
Tito Magoti, Mwanasheria na Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Tanzania
Tito Magoti, Mwanasheria na Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Tanzania RFI/Fredrick Nwaka

Bara la Afrika mwaka 2018 limekabiliwa na vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu ikiwemo mauaji, utekaji nyara, utungwaji wa sheria zinazokinzana na uhuru wa kujieleza na kukusanyika. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya ya Jua haki zako.