Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Dunia yakaribisha mwaka mpya wa 2019, Burundi wafungwa 3000 waachwa huru, Iran na Marekani zavutana mradi wa Nyuklea

Sauti 20:33
Sherehe za kuukaribisha mwaka mpya, katika Harbour Bridge pia Opera House huko Sydney Desember 31, 2018.
Sherehe za kuukaribisha mwaka mpya, katika Harbour Bridge pia Opera House huko Sydney Desember 31, 2018. PETER PARKS / AFP

Raia wa mataifa mbalimbali barani Afrika na kwingineko duniani wameupokea mwaka mpya wa 2019, kwa shangwe na kusherehekea kwa njia mbalimbali katika maeneo ya kuabudu, kumbi za starehe huku viongozi mbalimbali wakitoa ujumbe wao wa mwaka mpya. Katika makala hii pia tumeangazia kusubiriwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika nchini DRC pia baadhi ya habari kuu za siasa za mataifa mengine.