Mjadala wa Wiki

Wananchi wa DRC bado wanasubiri matokeo ya Uchaguzi Mkuu

Sauti 17:01
Rais wa  Joseph Kabila, anayemaliza muda wake
Rais wa Joseph Kabila, anayemaliza muda wake REUTERS/Benoit Nyemba

Mamilioni ya raia wa DRC, pamoja na dunia, inasubiri Tume ya Uchaguzi kumtangaza mshindi wa Uchaguzi wa urais, baada ya wananchi kupiga kura Desemba 30 2018. Nani atashinda Uchaguzi huu na ni kwanini matokeo yamechelewa ? Tunachambua suala hili kwa kina.