Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Watu wenye silaha washambulia hotel ya kifahari Niarobi, CENI yamtangaza Felix Tshisekedi mshindi wa uchaguzi

Imechapishwa:

Makala hili imeangazia shambulio la watu wenye silaha dhidi ya hotel ya kifahari jijini Nairobi, shirika la msalaba mwekundu limesema, watu waliokuwa wametoweka, wote wamepatikana na huko DRC tume ya uchaguzi imemtangaza Felix Tshisekedi kuwa mshindi wa uchaguzi mkuu wa desemba2018, wakati kimataifa tumeangazia hali ya mkwamo wa shughuli za serikali nchini Marekani.

Shughuli za kuwaokoa watu kutoka hoteli ya kifahari ya DusitD2, Nairobi, Kenya, Januari 15, 2019.
Shughuli za kuwaokoa watu kutoka hoteli ya kifahari ya DusitD2, Nairobi, Kenya, Januari 15, 2019. REUTERS / Njeri Mwangi