Maandamano nchini Zimbabwe

Sauti 08:44
Maandamano nchini Zimbabwe
Maandamano nchini Zimbabwe REUTERS/Philimon Bulawayo

Zimbabwe imeshuhudia maandamano jijini Harare, raia wa nchi hiyo wakilalamikia kupanda kwa bei ya mafuta maradufu. Rais Emmerson Mnangagwa anasema ni kwa sababu uchumi umeyumba. Una mtazamo gani msikilizaji.