DRC yampata rais mpya, historia yaandikwa

Sauti 09:45
Rais mpya wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi akiapishwa Januaro 24 2019
Rais mpya wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi akiapishwa Januaro 24 2019 REUTERS/OLIVIA ACLAND

DRC imempata rais mpya, Felix Thisekedi. Nchi hiyo ya Afrika ya Kati imeshuhudia ubadilishanaji wa madaraka kwa njia ya amani kwa mara ya kwanza tangu ilipopata uhuru mwaka 1960. Tunajadili hili kwa kina.