Etienne Tshisekedi Muasisi wa demokrasia DRC?

Sauti 21:00
Etienne Tshisekedi pamoja na mke wake wakitoa heshima kwa wafuasi wa chama cha UDPS waliokufa katika vurugu za Septemba, november 2016.
Etienne Tshisekedi pamoja na mke wake wakitoa heshima kwa wafuasi wa chama cha UDPS waliokufa katika vurugu za Septemba, november 2016. RFI/Sonia Rolley

Katika makala hii tumeangazia maisha ya aliyekuwa muasisi wa demokrasia nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Etienne Tshisekedi wa Mulumba, ambaye tangu alipozaliwa tarehe 14 mwezi Disemba mwaka 1932, aliendelea kuwa mpinzani wa serikali zoote zilivyofwatana kuanzia enzi za marehemu Mobutu Sese Seko, hadi kifo chake February 01 2017 huko Brussels Ubelgiji katika hospitali, Tshisekedi alikuwa kiongozi wa upinzani mwenye umri mkubwa.