Mkutano baina ya Rais Paul Kagame na Felix Tshisekedi unaweza kuimarisha uhusiano baina ya Kigali na Kinshasa?

Sauti 10:05
Rais wa DRC Felix Tshisekedi (Kushoto) akishauriana na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame (Kulia) baada ya kukutana pembezoni mwa mkutano mkuu w a AU jijini Addis Ababa nchini Ethiopia
Rais wa DRC Felix Tshisekedi (Kushoto) akishauriana na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame (Kulia) baada ya kukutana pembezoni mwa mkutano mkuu w a AU jijini Addis Ababa nchini Ethiopia @UrugwiroVillage Following Following @UrugwiroVillage More

Rais  mpya wa DRC Felix Tshisekedi aekutana kwa mazungumzo na mwenzake wa Rwanda Paul Kagamem, ambaye alitilia shaka kuchaguliwa kwake katika uchaguzi wa Disemba mwaka 2018. Je mkutano bvaina ya viongozi hawa unaweza kuimarisha uhusiano baina ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda? Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu