Viongozi wa umoja wa Afrika watamatisha mkutano wao Addis Ababa, Kagame akutana na Tshisekedi wa DRC,Marekani na ujenzi wa ukuta na Mexico

Sauti 15:36
Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Félix Tshisekedi wakati wa mkutano wa Umoja wa Afika, february 10 2019.
Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Félix Tshisekedi wakati wa mkutano wa Umoja wa Afika, february 10 2019. SIMON MAINA / AFP

Katika makala ya juma hili, tumengazia kutamatika mkutano wa viongozi wa mataifa ya umoja wa Afrika huko Addis Ababa Ethiopia ambapo rais wa Misri aliteuliwa kuwa mwenyekiti mpya wa umoja huo, akipokea kijiti toka kwa mtangulizi wake rais wa Rwanda Paul Kagame.huko DRC mkutano kati ya rais mpya Felix Tshisekedi, lakini pia chama kipya cha upinzani kinachoongozwa na Agathon Rwasa, pamoja na siasa za Marekani