Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Waasi wa zamani wa M23 DRC warejeshwa nyumbani kutoka Uganda, Buhari ashinda uchaguzi Nigeria, Rais wa Marekani akutana na Kim Hanoi, Vietnam

Sauti 20:15
Askari wa M23 akiwa kwenye Mpaka wa DRC na Rwanda, unaofahamika kama: "grande barierre" Novemba 2012.
Askari wa M23 akiwa kwenye Mpaka wa DRC na Rwanda, unaofahamika kama: "grande barierre" Novemba 2012. AFP PHOTO/PHIL MOORE

Katika makala ya wiki hii tumeangazia kurejeshwa nyumbani kwa wapiganaji 67 wa kundi lazamani la M23 waliokuwa Uganda, nchini Burundi usalama waendelea kuzorota, tume ya uchaguzi nchini Nigeria yamtangaza M. Buhari kuwa mshindi, umeangaziwa mkutano kati ya rais Donald Trump na kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un huko Hanoi Vietnam baada ya ule wa mwezi juni huko Singapore.