Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mvutano kati ya Rwanda na Uganda mpakani, tishio la ugonjwa wa ebola DRC, pia ziara ya rais Kagame nchini Tanzania

Sauti 21:09
Wafanyakazi wa kituo cha afya kinachopambana na  Ebola mjini Beni DRC, picha na ALIMA, Agosti 13 2018.
Wafanyakazi wa kituo cha afya kinachopambana na Ebola mjini Beni DRC, picha na ALIMA, Agosti 13 2018. Photo: John Wessels/AFP

Makala ya juma hili imekuletea kwa kina mvutano wa maeneo ya mpakani kati ya mataifa jirani Rwanda na Uganda kila mmoja akimtuhumu mwenzake, mashambulio ya kituo cha ebola mashariki mwa DRC lakini pia ziara ya rais wa Rwanda Paul Kagame nchini Tanzania, pia mgogoro kati ya Kenya na Somalia, wakati kimataifa tumeangazia kampuni ya Huawei kuifungulia Marekani kesi kuhusu bidhaa zake.