Kimbunga idai kukumba Msumbiji na mataifa mengine, viongozi wa Lamuka wakutana Brussels, Uingereza na Umoja wa Ulaya

Sauti 20:36
Familia moja ikiwa imekwama juu ya dari ya nyumba, wilayani Buzi, Msumbiji marchi 21 2019.
Familia moja ikiwa imekwama juu ya dari ya nyumba, wilayani Buzi, Msumbiji marchi 21 2019. REUTERS/Siphiwe Sibeko

Makala ya juma hili imeangazia madhara ya kimbunga idai kwenye mataifa ya Msumbiji, Zimbabwe na Malawi pamoja na jitihada za kimataifa katika kuwaokoa waathiriwa kadhaa, pia huko DRCongo mkutano wa viongozi wa Lamuka nchini Ubelgiji, Afrika mashariki na kati, Burundi, Rwanda na jamhuri ya Afrika, wakati kimataifa tumeangazia kuongezewa muda kwa uingereza kujitoa umoja wa ulaya.