Mjadala wa Wiki

Rais wa Algeria Abdelaziz Bouteflika ajiuzulu

Imechapishwa:

Baada ya kuwa madarakani kwa miaka 20 hatimaye Abdulaziz Bouteflika amelazimika kusalimu amri na kujiuzulu kama rais wa nchi wa Algeria.Nini hatima ya nchi ya Algeria baada ya kujiuzulu kwa Bouteflika mwenye umri wa miaka 82 ambaye tangu mwaka 2013 amekuwa akitumia gari la magurumu baada ya kupatwa na kiharusi.Kwa mujibu wa Katiba, Spika wa Senate sasa ndio rais wa muda hadi pale Uchaguzi mpya utakapofanyika.

Abdelaziz Bouteflika wakati akiwa rais
Abdelaziz Bouteflika wakati akiwa rais RYAD KRAMDI / AFP