Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Rais Felix Tshisekedi akutana na wawekezaji wa Marekani, Kenya kupambana na mafisadi, uingereza yaomba hadi juni 30 kukamilisha mchakato wa Brexit

Sauti 20:18
Rais wa DRC, Félix Tshisekedi akihutubia mkutano wa umoja wa afrika Addis Abeba, february 10 2019.
Rais wa DRC, Félix Tshisekedi akihutubia mkutano wa umoja wa afrika Addis Abeba, february 10 2019. SIMON MAINA / AFP
Na: Ruben Kakule Lukumbuka

Katika makala hii tumeangazia ziara ya rais wa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi nchini Marekani, hotuba ya rais Kenyatta wa Kenya kuhusu mapambano dhidi ya mafisadi, maadhimisho ya miaka 25 ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda, na Uingereza kuomba muda zaidi ili kufanikisha mchakato wa kujiondoa kwenye umoja wa ulaya.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.