Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Kiongozi wa waasi nchini Sudan Riek Machar ahofia usalama Juba, Rais Felix Tshisekedi atembelea Mukwidja Kivu kusini

Sauti 20:11
Kiongozi wa kanisa katoliki Papa Francis akimkaribisha rais wa Sudan Kusini Salva Kiir, mjini Vatican, jumamosi marchi 16 2019.
Kiongozi wa kanisa katoliki Papa Francis akimkaribisha rais wa Sudan Kusini Salva Kiir, mjini Vatican, jumamosi marchi 16 2019. Vatican Media/­Handout via REUTERS
Na: Ruben Kakule Lukumbuka
Dakika 21

Makala ya juma hili imeanzia nchini Sudan Kusini ambako kiongozi wa upinzani Riek Machar alisema kuwa hayuko tayari kurejea Juba kwa sababu za kiusalama; ni juma la maombolezo DRC, rais Felix Tshisekedi alitembelea kijiji cha Mukwidja baada ya ajali ya boti iliyosababisha vifo vya watu zaidi ya thelathini katika ziwa Kivu na wengine mia kutoweka,wakati kimataifa tumeangazia mkutano wa kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un na rais Putin kufanyika juma lijalo.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.