Kiongozi wa upinzani nchini DRC Martin Fayulu ataka maandamano dhidi ya rais Tshisekedi

Sauti 15:18
Martin Fayulu, kiongozi wa upinzani nchini DRC
Martin Fayulu, kiongozi wa upinzani nchini DRC NICOLAS MAETERLINCK / BELGA / AFP

Kiongozi wa upinzani nchini DRC Martin Fayulu, anataka maandamano yafanyike nchini humo kumshinikiza rais Felix Thisekedi aondoke madarakani kama ilivyokuwa nchini Sudan na Algeria.Fayulu anasema yeye ndiye aliyeshinda Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2018.Tunachambua hili kwa kina.