Timu za Afrika mashariki na kati zina mkakati gani wa ushiriki wa fainali za Afrika

Sauti 24:14
Fainali za 32 za Afrika zinatarajiwa kuanza Juni hadi Julai nchini Misri
Fainali za 32 za Afrika zinatarajiwa kuanza Juni hadi Julai nchini Misri pulse Ghana

Mataifa ya Afrika mashariki yameanza maandalizi kwa ajili ya ushiriki wa fainali za Afrika zinazotazamiwa kuanza mwezi ujao nchini Misri. Je mikakati ni mikakati thabiti? Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Bonface Osano na Samwel John kutathimini kwa kina