Moise Katumbi arejea DRC baada ya kuishi uhamishoni kwa miaka mitatu

Sauti 20:24
DR Congo President Felix Tshisekedi. PHOTO | JOHN WESSELS | AFP
DR Congo President Felix Tshisekedi. PHOTO | JOHN WESSELS | AFP JOHN WESSELS / AFP

Ungana na Fredrick Nwaka wiki hii akikuletea makala ya Mtazamo wako kwa yaliyojiri wiki hii na baadhi ya habari muhimu ni Rais wa DRC kumteua Sylivester Ilunga Ilukamba kuwa waziri mkuu wa taifa hilo, Cyril Ramaphosa aapishwa kuwa rais wa Afrika Kusini na Narendra Modi achaguliwa tena kuwa waziri mkuu wa India