Moise Katumbi atafanikiwa kuviunganisha vyama vya upinzani nchini DRC?

Sauti 10:33
Mwanasiasa Moise Katumbi akiwasili nchini DRC baada ya kuishi uhamishoni kwa miaka mitattu nchini Ubelgiji.
Mwanasiasa Moise Katumbi akiwasili nchini DRC baada ya kuishi uhamishoni kwa miaka mitattu nchini Ubelgiji. Junior KANNAH / AFP

Mwanasiasa wa upinzani nchini DRC, Moise Katumbi ametangaza kufanya ziara katika majimbo yote nchini humo kwa kile anasema ni kuunganisha vyama vya upinzani. Je atafanikiwa? Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu