Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mazishi ya kinara wa upinzani, DRC Etienne Tshisekedi, Tanzania yapiga marufuku mifuko ya plastiki, ripoti ya Muller Urusi iliingilia uchaguzi wa Marekani

Imechapishwa:

Katika makala hii tumeangazia mazishi ya aliyekuwa kinara wa upinzani nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Etienne Tshisekedi, upigaji marufuku wa mifuko ya plastiki nchini Tanzania, kuapishwa kwa rais wa Malawi Peter Mutharika, pia rais wa Nigeria Muhammadou Buhari, na katika uga wa kimataifa kurudiwa kwa uchaguzi wa Israeli baada ya waziri mkuu Benjamin Netanyahu kushindwa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa

Jeneza la maiti ya Étienne Tshisekedi lilipowasili katika uwanja wa des Martyrs jijini Kinshasa mei 31 2019.
Jeneza la maiti ya Étienne Tshisekedi lilipowasili katika uwanja wa des Martyrs jijini Kinshasa mei 31 2019. REUTERS/Kenny Katombe
Vipindi vingine