Habari RFI-Ki

Kampeni ya waandamanaji kutotii sheria nchini Sudan italazimisha jeshi kukabidhi mamlaka kwa raia?

Imechapishwa:

Waandamanaji nchini Sudan wameingia siku ya pili ya maandamano ya kutotii sheria ili kushinikiza jeshi kukabidhi madaraka kwa raia. Je hatua hiyo itafanikiwa? Ungana na Fredrick Nwaka aliyekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu.

waandamanaji nchiuni Sudan wakichoma matairi jiji ni Khartoum.
waandamanaji nchiuni Sudan wakichoma matairi jiji ni Khartoum. Reuters