Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mazungumzo ya amani kuanza Sudan, rais wa DRC Felix Tshisekedi azuru Tanzania, mawaziri wa fedha wa EAC wazisoma Badgeti zaoza 2020

Imechapishwa:

Katika makala ya juma hili tumeangazia hatua ya Marekani kumtuma mjumbe wake huko Sudan kupatanisha kamati ya kijeshi na waandamanaji, ziara ya rais wa DRC Felix Tshisekedi nchini Tanzania, lakini pia kusomwa kwa badjeti ya mwaka 2019/2020 katika mataifa ya jumuia ya Afrika mashariki, kadhalika mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola nchini Uganda. 

Rais wa DRC Felix Tshisekedi akiwa na mwenyeji wake rais wa Tanzania John Magufuli. 13 Juni 2019
Rais wa DRC Felix Tshisekedi akiwa na mwenyeji wake rais wa Tanzania John Magufuli. 13 Juni 2019 ikulu/Tanzania