Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mohamed morsi azikwa kisiri huko Cairo, Misri, naibu mwenyekiti wa CENI ajiuzulu nchini DRC, Marekani yavutana na Iran

Imechapishwa:

Juma hili lilishuhudia kufariki dunia kwa aliyekuwa rais wa Misri, Mohammed Morsi kiongozi aliyechaguliwa kidemokrasia akiwa mahakamani akiisikiliza kesi yake, huko DRC naibu mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Norbert Basengezi alitangaza kujiuzulu, rais wa Marekani Donald Trump aituhumu Iran kwa kudungua ndege yake isiyo na rubani katika anga ya mashariki ya kati.   

Rais Mohamed Mursi akiteta na wafuasi wa chama cha  Muslim Brotherhood akiwa gerezani mjini Cairo, Misri
Rais Mohamed Mursi akiteta na wafuasi wa chama cha Muslim Brotherhood akiwa gerezani mjini Cairo, Misri REUTERS