Utamaduni wa kuvaa Shanga, na Mariam wa Migomba

Sauti 20:44
wakimbiz turque Ankara, 2017
wakimbiz turque Ankara, 2017 ADEM ALTAN / AFP

Katika Makala haya utapata kusikia sehemu ya 3 ya Historia ya wakimbizi Duniani, lakini pia Ali Bilali amezungumza na Somo bi Mariam wa Migomba kuhusu uvaaji wa Shanga kwa wanawake. Utapata pia burudani ya wimbo wa mwanamuziki kutoka Ufaransa Frederic Francois