Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Viongozi wa waandamanaji na wa kijeshi Sudan wafikia mwafaka, AFDC yapania kugombea useneta nchini DRC

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia makubaliano yaliyofikiwa kati ya viongozi wa waandamanaji na wakuu wa kijeshi kuhusu muundo wa serikali ya mpito nchini Sudan, huko DRCongo rais Felix Tshisekedi alitembelea kambi ya wakimbizi huko Djugu katika jimbo la Ituri, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo, ziara ya rais wa Kenya Uhuru Kenyatta nchini Tanzania, wakati kimataifa mvutano kati ya Marekani na Iran kuhusu suala la Nuklia

Luteni Jenerali Mohamed Hamdan Dagalo, mkuu wa baraza la kijeshi la Sudan katika Mkutano kwenye kijiji cha Aprag,tarehe juni 22 2019.
Luteni Jenerali Mohamed Hamdan Dagalo, mkuu wa baraza la kijeshi la Sudan katika Mkutano kwenye kijiji cha Aprag,tarehe juni 22 2019. REUTERS/Umit Bektas