Mkutano wa 39 SADC kuangazia uchumi wa viwanda

Sauti 15:16
Mlipuko wa Ebola ni moja kati ya changamoto inayokabili mataifa ya SADC
Mlipuko wa Ebola ni moja kati ya changamoto inayokabili mataifa ya SADC REUTERS/Djaffer Sabiti

Karibu katika makala ya mjadala wa wiki.Kikao cha 39 cha viongozi wa mataifa ya SADC kinataraji kuanza jijini Dar es salaam nchini Tanzania ajenda kuu ni kujadili mkakati wa kiuchumi kwa kuhimiza viwanda katika mataifa hayo.Fuatilia kwa kina,wachambuzi Wetengere Kitojo na Saidi Msonga wameangazia kinaga ubaga katika makala haya na mwandishi wetu Martha Saranga.