Ukatili wa kijinsia na wajibu wa raia na serikali kukabiliana na vitendo hivyo

Sauti 09:57
Vitendo vya ukatili wa kijinsia ni changamoto kubwa katika mataifa ya Afrika mashariki na kati
Vitendo vya ukatili wa kijinsia ni changamoto kubwa katika mataifa ya Afrika mashariki na kati UN News

Matukio ya ukatili wa kijinsia bado ni changamoto katika mataifa ya Afrika mashariki na kati, tunaangazia namna utafiti na sheria zinavyoweza kusaidia kutatua changamoto hii. Ungana na Fredrick Nwaka aliyekuandalia makala haya