Sehemu ya pili ya Makala kuhusu SADC
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 19:46
Makala haya ni sehemu ya pili kuhusu Historia ya mkutano wa nchi za kiuchumi za kusini mwsa Afrika SADC. Utapata pia kufahamu utamaduni wa ndoa za kimasai, huku burudani murua kabisa kutoka kundi la The Mafik likitamatisha makala haya.unaweza pia kutufollow kwa Instagram @billy_bilali