Baraza huru laundwa nchini Sudan

Sauti 15:32
Sherehe nchini  Sudan baada ya kuundwa kwa baraza huru litakaloongoza kwa muda wa miaka mitatu
Sherehe nchini Sudan baada ya kuundwa kwa baraza huru litakaloongoza kwa muda wa miaka mitatu AFP/Ahmed Mustafa

Baraza huru kati ya viongozi wa kijeshi na kiraia limeundwa nchini Sudan, kuongoza nchi hiyo kwa muda wa miaka mitatu, je, litatimiza mahitaji ya raia wa Sudan ? Tunajadili.