Serikali mpya yaundwa DRC, miezi saba baada ya kuapishwa kwa Felix Tshisekedi na mkutano wa pamoja baina ya Afrika na Japan watamatika huko Yokohama

Sauti 20:46
Waziri Mkuu mpya wa DRC Sylvestre Ilunga Ilukamba (Kushoto) akisalimiana na rais Felix Tshisekedi (Kulia) walipokutana jijini Kinshasa Mei 20 2019
Waziri Mkuu mpya wa DRC Sylvestre Ilunga Ilukamba (Kushoto) akisalimiana na rais Felix Tshisekedi (Kulia) walipokutana jijini Kinshasa Mei 20 2019 www.rfi.fr

Machache kati ya tuliyoyafumbata katika makala ya mtazamo wako kwa yaliyojiri wiki hii ni pamoja DRC yapata serikali mpya miezi saba baada ya kuapishwa kwa rais Felix Tshisekedi na katika uga wa kimataifa mkutano wa pamoja baina ya viongozi wa Afrika na Japan watia nanga huko Yakohama. Ungana na Fredrick Nwaka aliyekuandalia makala haya.