Mkutano wa Kimtaifa wamaendeleo ya kiuchumi baina ya Japan na Afrika

Sauti 20:20
viongozi wa Afrika na Japan katikamkutano wa TICAD
viongozi wa Afrika na Japan katikamkutano wa TICAD Kyodo/via REUTERS

Katika Makala haya utapata kufahamu kuhusu historia ya mkutano wa Kimataifa wa Tokyo juu ya maendeleo ya Afrika TICAD. (Tokyo International Conference on Africa Developpment). kwenye kipengele cha utamaduni utafahamu utamaduni wa Ndoa kwa mila za Warundi. Na kwenye kipengele cha Muziki, utaipata Burudani ya Muziki wa Marehemu DJ Arafat (l'Enfant de Dieu) Usikosi pia kutufollow kwa Instagram kwa kuandika billy_bilali