Nini suluhu ya kisiasa kuhusu mzozo wa kuwavamia wageni nchini Afrika Kusini ?

Sauti 09:58
Machafuko nchini Afrika Kusini
Machafuko nchini Afrika Kusini GUILLEM SARTORIO / AFP

Je, kuna suluhu ya kisiasa kuhusu mzozo wa wageni kuvamiwa na maduka yao kuvunjwa  nchini Afrika Kusini ?Tunajadili hili katika Makala ya Wimbi la Siasa.