Historia ya aliekuwa rais wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe

Sauti 20:45
rais wa zamani wa Zimbabwe wakati wa uhai wake
rais wa zamani wa Zimbabwe wakati wa uhai wake REUTERS/Stringer

Makala haya, Ali Bilali anakuletea Historia ya rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe alietangazwa kuwa baba wa taifa wa Zimbabwe na rais wa sasa wa nchi hiyo siku moja baada ya kifo chake. Ambatana nami mwanzo hadi tamati ya makala haya