Sehemu ya II ya makala kuhusu Mugabe, kuagwa kwake
Imechapishwa:
Sauti 20:27
Awamu hii ya pili ya Makala kuhusu Mugabe, inazungumzia kuhusu zoezi la kuagwa kwa muili wake jijini Harare Septemba 14 ambapo ma rais kadhaa wa sasa na waliostaafu wamehudhuria shughuli hiyo. Wote waliopewa nafasi ya kuzungumza wamemsifu Mugabe na kumuita shujaa wa harakati za kulikomboa bara la Afrika.