Dunia kuangazia mabadiliko ya tabia nchi

Sauti 11:40
Viongozi wa Afrika nao kutoa hutuba katika mkutano mkuu wa umoja wa mataifa
Viongozi wa Afrika nao kutoa hutuba katika mkutano mkuu wa umoja wa mataifa Femi Adeshina/ Facebook

Mabadiliko ya tabia nchi yamechangia kuyeyuka kwa theluji katika milima mbalimbali Duniani hatua inayoisukuma nchi ya Ufaransa kuja na mradi wa kufanya utafiti ili kuhifadhi barafu unaoitwa Kumbukumbu ya Barafu iliyopo katika Mlima mrefu barani Afrika wa Kilimanjaro.Hayo yanajiri wakati huu dunia ikiangazia namna ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.