Hatima ya Uchaguzi Mkuu nchini Msumbiji

Sauti 12:04
Wapiga kura nchini Msumbiji wakipiga kura tarehe 15 2019
Wapiga kura nchini Msumbiji wakipiga kura tarehe 15 2019 PATRICK MEINHARDT / AFP

Wananchi wa Msumbiji, wanasubiri matokeo ya Uchaguzi Mkuu baada ya kupiga kura siku ya Jumanne. Ni uchaguzi ambao wachambuzi wa siasa wanasema ni kipimo cha demokrasia na utekelezwaji wa mkataba wa amani uliotiwa saini kati ya waasi wa Renamo na serikali, miezi miwili iliyopita. Tunajadili suala hili.