Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Kiongozi wa waasi Sudan kusini achelewesha uundwaji wa serikali, ziara ya Moise Katumbi mashariki mwa DRC, siasa za Marekani njiapanda

Sauti 21:02
Kiongozi wa waasi Sudan kusini Riek Machar wakati wa mazungumzo ya amani Addis Abeba 2019.
Kiongozi wa waasi Sudan kusini Riek Machar wakati wa mazungumzo ya amani Addis Abeba 2019. ASHRAF SHAZLY / AFP

Wakati tarehe ya uundwaji wa serikali ya mpito nchini Sudan kusini, november 12 inapokaribia, kiongozi wa waasi nchini humo Riek Machar asema hayupo tayari kurejea Juba, makala ya mtazamo wako kwa yaliyojiri wiki hii pia imeangazia ziara ya mwanasiasa wa upinzani nchini DRC Moise Katumbi mashariki mwa nchi hiyo, wakati kimataifa tumemulika mvutano wa wabunge nchini Marekani kutaka kumuondoa madarakani rais Donald Trump