Changu Chako, Chako Changu

Chimbuko la taifa la Israeli, Kenya na Ufaransa zakubaliana kukuza vipaji kuhusu uchoraji wa vibonzo

Imechapishwa:

Katika makala hii tumangazia chimbuko la taifa la Israeli, wakati katika utamaduni tumeangazia makubaliano yaliyoafikiwa kati ya Kenya na Ufaransa kupitia ubalozi wake ulioko jijini Nairobi kuhusu kukuza vipaji mbali mbali kuhusu uchoraji wa vibonzo, uteuzi wa DRC kuwa mwenyeji wa michuano ya Francophonie, na kumalizia na muziki 

Rais wa Israeli Reuven Rivlin akisalimiana na waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu Ikulu, Jerusalem September 25, 2019.
Rais wa Israeli Reuven Rivlin akisalimiana na waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu Ikulu, Jerusalem September 25, 2019. ©REUTERS/Ronen Zvulun
Vipindi vingine