Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Rais wa Sudan kusini Salva Kiir akutana na mpinzani wake Riek Machar mjini Kampala, watu 10 wauawa mashariki mwa DRC

Imechapishwa:

Makala ya juma hili imeangazia mkutano kati ya rais wa Sudan kusini Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar jijini Kampala chini ya usimamizi wa rais yoweri Museveni. Nchini DRCongo watu wasiopungua 10 waliuawa katika mji wa Kokola, wilayani Beni katika shambulizi linalodaiwa kuwa lilitekelezwa na waasi wa ADF, wakati kimataifa tumeangazia ziara ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron nchini China. 

Jeshi la serikali ya DRCongo FARDC likipiga doria katika operesheni zake maeneo ya Eringeti (archives). October 2017
Jeshi la serikali ya DRCongo FARDC likipiga doria katika operesheni zake maeneo ya Eringeti (archives). October 2017 ALAIN WANDIMOYI / AFP