Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Ziara ya rais Tshisekedi nchini Ufaransa, mkutano wa idadi ya watu na maendeleo wahitimishwa nchini Kenya, rais wa Bolivia ajiuzulu

Sauti 20:05
Rais wa DRC Félix Tshisekedi akipokelewa na mwenyeji wake wa Uganda Yoweri Museveni, Entebbe, novemba 09 2019.
Rais wa DRC Félix Tshisekedi akipokelewa na mwenyeji wake wa Uganda Yoweri Museveni, Entebbe, novemba 09 2019. Sumy Sadurni / AFP

Rais wa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi Tshilombo alikutana na mwenyeji wake rais wa uganda Museveni na kwa pamoja wamekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia kati ya mataifa yao mawili, baada ya kuzuru Uganda rais Tshisekedi alielekea Ufaransa, kabla ya kuenda Ujerumani, mkutano kuhusu idadi ya na maendeleo ya dunia wamalizika wakati kimatifa rais wa Bolivia juma hili alitangaza kujiuzulu kwake.