Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Historia ya chimbuko la mitandao ya kijamii

Sauti 19:12
Facebook kuanza kupambana na Habari za uwongo «fake news» barani Afrika.
Facebook kuanza kupambana na Habari za uwongo «fake news» barani Afrika. JUSTIN SULLIVAN / GETTY IMAGES NORTH AMERICA / AFP
Na: Ruben Kakule Lukumbuka

Makala ya changu chako chako changu imeangazia kuhusu chimbuko la mitandao ya kijamii, lakini pia athari zake na namna ya kuepukana na udanganyifu katika mitandao hiyo. Katika kipengele cha utamaduni imeangaziwa jamii ya watu wa kabila la wawolowolo katika jimbo la Tanganyika huko DRC na tarativu za ndoa, katika awamu ya pili tutajaribu kuonyesha madhara yatokanayo na mitandao ya kijamii 

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.