Haki ya mwajiri na mwajiriwa kwa kuzingatia misingi ya mikataba ya kimataifa na kikanda

Sauti 10:00
Mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Tanzania LHRC, Anna Henga (wa tano kutoka kulia) baada ya kuzinduz ripoti ya haki za binadamu na biashara ya mwaka 2018/19
Mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Tanzania LHRC, Anna Henga (wa tano kutoka kulia) baada ya kuzinduz ripoti ya haki za binadamu na biashara ya mwaka 2018/19 LHRC

Makala ya Jua haki zako wiki hii inaangazia haki za mwajiri na mwajiriwa kulingana na mikataba ya kimataifa, kikanda na sheria za nchi mbalimbali. Ungana na Fredrick Nwaka akizungumza na mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Tanzania Tito Magoti hasa wakiangazia ripoti ya haki za binadamu na biashara iliyotolewa na kituo cha sheria na haki za binadamu ya mwaka 2018/19.