Habari RFI-Ki

Ufaransa na Umoja wa Ulaya utaweza kukomesha mauaji mashariki mwa DRC?

Sauti 09:55
Wanajeshi wakiwa wilayani Beni, eneo linalokabiliwa na hali tete kiusalama
Wanajeshi wakiwa wilayani Beni, eneo linalokabiliwa na hali tete kiusalama Voa

Daktari Dennis Mukwege ametoa wito kwa Ufaransa na umoja wa Ulaya kuingilia kijeshi nchini DRC ili kupambana na magaidi wa ADF wanaoendesha mauajio ya raia wilayani Beni na mashariki mwa nchi hiyo. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu ili kupata maoni yao.