Habari RFI-Ki

Watu wenye ulemavu wa ngozi katika mataifa jirani na Tanzania bado wanakabiliwa na hatari ikiwemo mauaji

Sauti 10:10
Watu wenye ulemavu wa ngozi,Albino bado wanakabiliwa na hatari kulingana na Shirika la Under The Same Sun
Watu wenye ulemavu wa ngozi,Albino bado wanakabiliwa na hatari kulingana na Shirika la Under The Same Sun RFI

Shirika la Under The Same Sun lenye makao yake makuu nchini Canada linasema Tanzania imepiga hatua katika kukabiliana na madhila yanayowapata watu wenye ulemavu wa ngozi huku likisema mataifa jirani na Tanzania bado watu wenye ulemavu wa ngozi wanakabiliwa visa ikiwemo mauaji. Fredrick Nwaka ameandaa makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji. Ungana naye.