Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mauaji mapya Beni mashariki mwa DRC, awamu mpya ya mazungumzo Sudan Kusini, mstakabali wa rais wa Marekani Donald Trump mashakani

Imechapishwa:

Katika makala ya juma hili tumeangazia mauaji mengine mapya huko Beni mashariki mwa DR Congo ambapo watu wengine saba waliripotiwa kuuawa mwanzoni mwa juma lililopita, vijana waliohamaki waliweka vizuizi vya barabarani, awamu mpya wa mazungumzo ya amani nchini Sudan Kusini, na katika uga wa kimataifa siasa za Marekani na mchakato wa kumng'oa madarakani rais Donald Trump, pamoja na mengine mengi.Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi.

Rais wa DRC Félix Tshisekedi akihojiwa na kituo cha televisheni cha Ufaransa TV5 pia gazeti la Le Monde, september 22 2019.
Rais wa DRC Félix Tshisekedi akihojiwa na kituo cha televisheni cha Ufaransa TV5 pia gazeti la Le Monde, september 22 2019. Capture d'écran TV5 Monde
Vipindi vingine