Maandamano makubwa yaripotiwa DRC kupinga mauaji Beni DRC, ripoti BBI yakabidhiwa rais, siasa za Marekani zaendelea
Imechapishwa:
Sauti 20:00
Katika yaliyojiri huko DRC wiki hii wananchi waomboleza vifo vya watu zaidi ya ishirini katika ajali ya ndege ya shirika la Busy Bee mjini Goma, pia maandamano makubwa yaliripotiwa ambapo wananchi wameishutumu Monusco kwa kushindwa kuuthabitisha usalama katika mji wa Beni. Rais Uhuru Kenyatta akabidhiwa ripoti ya BBI, Nchini Kenya.Mchakato wa kumwondoa madarakani rais Donald Trump washika kasi.