Maandamano ya kupinga Monusco yaitishwa mashariki mwa DRC, gavana wa kaunti ya Nairobi akamatwa, mgomo nchini Ufaransa

Sauti 20:08
Kundi la watu likishambulia makao makuu ya Monusco mjini Beni, Novemba 25 2019.
Kundi la watu likishambulia makao makuu ya Monusco mjini Beni, Novemba 25 2019. Ushindi Mwendapeke Eliezaire / AFP

Ni juma ambalo limeshuhudia kusitishwa kwa shughuli za maisha pia maandamano ya kupinga uwepo wa Monusco nchini DRC, huku waandamanaji wakiituhumu kwa kushindwa kuwalinda raia wakati huu mauaji yakiendelea wilayani Beni, nchini Kenya gavana wa jimbo la Nairobi Mike Sonko,akamatwa kwa tuhuma za ufisadi. Rais wa Uganda Yoweri Museveni ahimiza matembezi ya kupinga ufisadi nchini mwake. Ufaransa, maandamano ya kupinga mageuzi ya mfumo mpya wa mafao ya pensheni yaliendelea.Ungana na mwandishi wetu Reuben K.Lukumbuka