Gavana wa Nairobi Sonko aachiwa kwa dhamana, rais wa DRC Tshisekedi ahutubia bunge, Waziri mkuu wa uingereza Johnson ashinda uchaguzi

Sauti 20:00
Maafisa wa usalama katika shughuli zao baada ya shambulio jijini Nairobi, Kenya, january 17 2019.
Maafisa wa usalama katika shughuli zao baada ya shambulio jijini Nairobi, Kenya, january 17 2019. REUTERS/Njeri Mwangi

Makala ya juma hili imeangazia kukamatwa kwa gavana wa kaunti ya Nairobi Mike Mbuvi Sonko, na baadaye kuachiwa huru kwa makosa ya ufisadi, nchini DRCongo rais Felix Tshisekedi alilihutubia taifa kupitia bunge la nchi hiyo, naye waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed aliipokea tuzo ya amani huko Oslo,huko Niger rais wa Ufaransa Emmanuel Macron aliahirisha mkutano wa viongozi wa G5 Sahel hadi january mwakani. Kimataifa tumeangazia uchaguzi wa Uingereza uliompa ushindi Boris Johnson