Bunge la congress Marekani kutokuwa na imani na rais Trump, mauaji yaendelea mashariki mwa DRC

Sauti 20:03
Nancy Pelosi, spika wa bunge la Marekani akisoma hotuba inayomhusu rais Donald Trump, jijini Washington desemba 18 2019
Nancy Pelosi, spika wa bunge la Marekani akisoma hotuba inayomhusu rais Donald Trump, jijini Washington desemba 18 2019 REUTERS/Jonathan Ernst

Katika makala hii tumeangazia mchakato wa bunge la Marekani kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais Donald Trump, wakati barani afrika kuendelea kwa mauaji ya raia wasio na hatia huko mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo pamoja na siasa za Kenya, Sudan, Niger, na pia hatua ya uibgereza ya kujiondoa kwenye umoja wa ulaya, lakini pia mgomo wa wafanyakazi wa sekta mbali mbali nchini Ufaransa.Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka