Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Ulimwengu wakaribisha christmas 2019, mauaji kuendelea mjini Beni DRC, uchaguzi nchini Israeli

Sauti 21:05
Kiongozi wa kanisa katoliki Papa Francis akitoa baraka za sikukuu ya krismas urbi et urbi desemba 25 2019
Kiongozi wa kanisa katoliki Papa Francis akitoa baraka za sikukuu ya krismas urbi et urbi desemba 25 2019 Vatican Media/ Handout via REUTERS
Na: Ruben Kakule Lukumbuka

Makala ya wiki hii imeangazia ulimwengu wa wakristo ulivyoikaribisha sikukuu ya krismas mwaka 2019, mwendelezo wa mauaji katika baadhi ya vijiji wilayani Beni mashariki mwa DRC, mazungumzo kuhusu upatikanaji wa serikali ya umoja wa kitaifa nchini Sudan kusini, kurejelewa mwezi february mwakani, pia kuendelea kwa mgomo wa kitaifa nchini Ufaransa kufwatia mpango wa marekebisho ya mfumo wa pensheni

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.